Watu waliojihami kwa bunduki wametaka kulipwa fidia ili wawaachilie wahubiri sita wa kiislamu waliotekwa nyara mashariki mwa jimbo la kivu katika Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo. Mpaka hivi sasa wanadai kiasi cha dola kimarekani 20000 ili kuwacha huru mateka hao
No comments :
Post a Comment