HOW TO APPLY? 1. GO TO WEBSIE;http://www.diageo-careers.com/en-row/searchandapply/Pages/default.aspx 2. CLICK SEARCH & APPLY |
Thursday, July 9, 2015
NEW JOBS SERENGETI BREWERIES LTD ( SUPPLY & LABORATORY TECHNICIAN)
Graduate Development Programme at Acacia Mining plc - Tanzania - July 2015
Acacia Mining plc is a company whose equity is traded on the London Stock Exchange and the Dar es Salaam Stock Exchange.
Acacia is one of the largest gold producers in Africa with three operating mines in Tanzania; Bulyanhulu, Buzwagi and North Mara, and exploration projects in Tanzania, Kenya and Burkina Faso.
TUKUE PAMOJA GRADUATE DEVELOPMENT PROGRAMME
|
Acacia Mining is searching for fresh talent to join our organization as part of our Tukue Pamoja Graduate Development Programme. We are looking for recent graduates who are high performers, disciplined, dedicated and self-motivated to join our world class team.
In line with our business requirements, we are looking for graduates in Mining Engineering, Metallurgy/ Mineral Processing Engineering, Geology, Mechanical/ Electrical/ Civil
KUFUATIA AJALI YA CHOPA: Nassari asimulia ajali
Arusha. Wakati Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari akisema anashindwa kuamini kilichotokea na kunusurika katika ajali ya helikopta juzi, mmiliki wa chopa hiyo, Philemon Ndesamburo amesema atanunua nyingine haraka kabla ya kuanza kampeni za Uchaguzi Mkuu.
Kauli hizo zilitolewa jana ikiwa ni siku moja baada ya helikopta hiyo
Butiku: Viongozi CCM magwiji wa kuvunja Katiba
“Huko nyuma kulikuwa na matatizo, lakini sasa chama changu (CCM) na vyama vingine ndiyo magwiji wa kuvunja
Kingunge amtolea uvivu Nape Nnauye
Dodoma. Mwanasiasa mkongwe wa CCM, Kingunge Ngombale-Mwiru amemshukia Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho, Nape Nnauye kwa kauli zake alizodai zinaminya demokrasia na kwamba CCM haiwezi kusimama wanapopambana wenyewe kwa wenyewe.
ETOLABEQ TANZANIA
ABOUT ETOLABEQ TANZANIA
ETOLABEQ Tanzania is a Company owned by Tanzanian Graduates which is about to bring professionals and most valuable and complete solutions in Quality Assurance Testing Needs (QATN). We believe on becoming the market leader in supply of quality and affordable instruments and consultation services for Small and Medium Enterprises.
Our vision comes from a specific focus on these rapidly evolving food sector and commitment to and understanding of our customers and dedication to innovation and quality.
Founded in 2014, headquartered in Dar es salaam Tanzania.
Code of Ethics
ETOLABEQ Tanzania have the VISION to become a leader in providing innovative solutions in quality assurance particularly through supply of quality assurance services (consultation) as well as quality and affordable equipment for food industries.
We do business in a responsible and ethical manner and with a commitment to sustainable development, respecting the needs of the individual, society and the environment.
We provides clear and simple guidance for our business behavior and shares the values and language we use and agree upon on a daily basis.
FOR MORE DETAILS DEAL;
+255758376552
+255716957295
ALICHOKISEMA MWANDOSYA NA CHEYO KUHUSU UKAWA KUONDOKA BUNGENI
DODOMA: Kutokana na wabunge wanaounda umoja wa katiba ya wananchi (UKAWA), kutangaza kutomsikiliza Rais, Jakaya Kikwete wakati wa hotuba yake ya kuvunja bunge.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Kazi Maalum), Profesa Mark Mwandosya, ameibuka na kutaka bunge litunge kanuni
Gavana wa benki kuu akataa anasa Kenya
Gavana wa Benki kuu ya Kenya Patrick Njoroge amekataa jumba la kifahari baada ya kuteuliwa kuchukua wadhifa huo.
Suala hilo limezua mjadala miongoni mwa wakenya kutokana na uamuzi huo wa bwana Njoroge, kapera mwenye umri wa miaka 54 ambaye ni
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)