1. Utangulizi:
Achaliya embe ni bidhaa inayotokana na usindikaji wa
zao moja kwa kutumia chumvi. Bidhaa hii
ikisha sindikwa hifadhi yake inatokana na tindikali aina ya asetiki . Mazao
mengine yanayoweza kutengenezwa achal ni kama Embe,
ndimu, kabegi (kimchi), matango, shelisheli, uyoga n.k
2. Kanuni za usindikaji
Katika
uzalishaji wa achali, chumvi inayotumika wakati wa kuchachua inafanya kazi ya
kuhifadhi ikisaidiana na kuwepo kwa tindikali na sukari, mchanganyiko huu
huzuia kukua kwa chembechembe waharibifu. Katika hali hii ya kuwepo kwa
tindikali nyingi , kuchemsha bidhaa sio lazima.
3. Mahitaji
Sukari
|
|
Pilipili
nyekundu
|
|
Haradali-mustard
|
|
Mafuta
ya kupikia
|
|
Siki
|
|
Uwatu -fenugreek
|
|
Binzari
kutegemea na matakwa.
|
|
4. Vifaa:
·
Ndoo ya plastic
·
Sufuria kubwa
·
Sufuria ndogo
·
Mwiko
·
Brashi
·
Visu-‘stainless steel’
·
Jiko
·
Meza ya stainless steel au alluminiamu
·
Mizani
·
Kinu, chekeche au grinder
·
Kibao
5. Vifungashio:
·
Chupa za kioo
·
Vizibo, vifuniko
·
Lebo
·
‘Seal’
6. Hatua za Utengenezaji
maembe na chumvi ikae kwa muda gani ndio iwe tayari?
ReplyDelete