Friday, July 17, 2015

NEW JOBS

TANZANIA PORTS AUTHORITY JOBS - 7/17/2015

NATURE OF SCOPE
Tanzania Authority (TPA) was established under the Ports Act No. 17 of 2004. The Authority is vested with the obligation and responsibility of developing managing and promoting Maritime Sector in Tanzania mainland
The major role of TPA is to enhance the advantage of the geographical position of Tanzania’s maritime resources
In light of the above, TPA invites applications from suitably qualified and competent applications to fill the following vacant posts
POST; SENIOR MANAGEMENT SYSTEMS OFFICER (WORK SYSTEMS) – SALARY

MAISLAMU KUENDELEA NA MFUNGO


Sheikh Mkuu wa Dar es Salaam ametangaza kuwa waislam wataendelea na funga zao za mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa kuwa mwezi haujaonekana kama ilivyotarajiwa.

Amesema kutokana na sababu hiyo, inatazamiwa kuwa sikukuu ya Eid El Fitr itafanyika tarehe 18 Julai 2015.

Mhindi Aliyekamatwa na Milioni 700 Dodoma Arudishiwa Fedha zake

Jeshi la polisi mkoani Dodoma limekanusha taarifa zilizozagaa kuhusiana na Raia wa Asia kukamtwa na fedha zaidi ya sh. m.700 kwa madai ya kuwahonga wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM ili wamchague mmoja kati ya waliokuwa wanawania nafasi ya Urais

CCM wajipanga kumng’oa Mdee Kawe

Katibu wa CCM Wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam, Juma Shesha akimkabidhi Fomu, Jumaa Mhina ya kuomba kuteliwa na Chama hicho kuwania Ubunge jimbo la Kawe  katika uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika oktoba. 
Dar/mikoani. Mbunge wa Kawe, Halima Mdee (Chadema) ameanza kuonja joto la kuwania ubunge katika jimbo hilo baada ya watu wanane kujitokeza kwa siku ya kwanza kuitaka nafasi hiyo.

Rugemalila Atangaza nia Ya Kugombea Ubunge Kibaha mjini

Mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM Taifa (NEC) Rugemalila Rutatina amejitokeza   na  kutangaza nia yake ya kugombea ubunge kupitia tiketi ya CCM katika jimbo la Kibaha mjini.

Thursday, July 16, 2015

KUNANI UKAWA?


Wakati hali ya sintofahamu kuhusu hatima ya mgombea Uraisi wa UKAWA ikiendelea Chama cha Wananchi CUF kimekanusha taarifa zilizoenea kuwa kimejitoa kwenye Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) .