Tuesday, August 18, 2015

PIPI ZENYE BANGI ZAUZWA NCHINI KENYA




chunguzi umefanyika nchini Kenya ambapo sampuli zipatazo 176 za pipi maarufu, keki na maandazi zilipimwa na zilipatikana zikiwa na bangi.

Kutokana na hilo, Licha ya watoto kuziipenda bidhaa hizo serikali inataka vipigwe marufuku na kuondolewa kabisa madukani na pia wachuuzi kuzuiwa kiziuza.

Kupitia kwa barua kwenda kwa wakuu wa afya wa kaunti zote 47 nchini Kenya, wizara ya afya imewaamrisha maafisa kukagua maduka yote, maduka ya jumla na sehemu zingine bidha hizo zinaweza kupatikana.

No comments :

Post a Comment