Tuesday, July 21, 2015

KWA WENYE UMRI WA MIAKA+18 NA ZAIDI, PICHA MPYA ZA KANYE WEST NA KIMKARDASHIAN

Kim Kardashian's Latest Photos Are Dirt-Rolling, Leotard-Wearing Oddities
A fashion spread starring Kim Kardashian and Kanye West is, by default, a thing to behold—but there's something extra bizarre about their latest shoot. In a special issue of System magazine shot by Juergen Teller (who also appears in the spread) and styled by West, things get interesting..

                                                  

TURKEY: WANANCHI WAFANYA MAANDAMANO KUPINGA UWEPO WA WACHINA

Anti-China sentiment is suddenly sweeping over Turkey
Waandamai wakichoma moto bendera ya China
Maandamano yanaendelea nchini Turkey. Maandamano hayo yaliyoanza wiki iliyopita yanatokea wakati ambapo raisi wa Nchi hiyo anajiandaa na ziara ya kuzuru nchi ya China hivi karibuni.

JE, NI KIASI GANI CHA MAJI UNAPASWA KUNYWA KWA SIKU

                       


Kadiri joto linavyopanda ndivyo ambavyo watu wanakunywa maji mengi ili kuifanya miili isiishiwe maji. Wakati mwingine watu wanashauri kwamba mtu anatakiwa kunywa hadi glasi nane wa siku. Ingawa ushauri huu hautokani na uchunguzi wa kisayansi na madaktari wanashauri kwamba inawezekana ushauri huo usiwe ndiyo ushauri bora zaidi.
Makala mpya iliyochapishwa katika Jarida la  Harvard Health Letter inashauri watu kunywa

GODWIN GONDWE NAYE AJITOSA


SAED KUBENEA AJITOSA UBUNGE KUPITIA CHADEMA

                            

SAED Kubenea, ameamua kuvunja ukimya baada ya uvumi kuenea kuwa alikuwa na nia ya kugombea ubunge katika jimbo la Mafia mkoa wa Pwani baada ya kuchukua fomu rasmi kugombea ubunge Jimbo la Ubungo, Dar es Salaam.


Akizungumza na vyombo vya habari leo mchana makao makuu ya Chama cha Demokrasia

30 SCHOLARSHIPS FOR YOU

German government and universities are supporting international students in big way. Germany is already popular as free education destination and increase in the number of scholarships, like HBF, IMPRS and DAAD, is great news for international students. 

Provided by:
 Heinrich Boll Foundation, Germany
Courses: Undergraduate, Graduate and PhD Degree Programmes Subjects:
Eligible Students: German and International Students
Application Deadline 1 September 2015
Apply Now
Tags: 2016FeaturedFull-time ScholarshipsgermanyGraduateInternationalJuly Week 3 (i)PhDscholarshipsUndergraduateUpdated Scholarships


2. British Council Free Online Course For Understanding IELTS 

Provided by: British Council and Future Learn

KENYATA: HATUTAJADILI NDOA ZA JINSIA MOJA

Maswala la mapenzi ya jinsia moja hayajaratibiwa katika mazungumzo baina yake na mgeni wake mashuhuri rais wa Marekani Barack Obama.

Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amesema kuwa maswala la mapenzi ya jinsia moja hayajaratibiwa katika mazungumzo baina yake na mgeni wake mashuhuri rais wa Marekani Barack Obama.

Burundi:Uchaguzi wa urais umeanza


                           
Baada ya ghasia na maandamano ya miezi kadhaa, hatimaye raia nchini Burundi sasa wamefika katika vituo vya kupiga kura ili kumchagua rais wao. Watu wawili wameuwawa usiku wa kuamkia leo katika mji mkuu Bujumbura.

KAZI MPYA MBILI

1. TIGO TANZANIA - JULY 2015

JOB PURPOSE
As a Territory Manager, your role is to manage sales of tigo products and services within North zone, in order to ensures consistent, profitable growth in sales revenues through positive planning, deployment and management of sales team; as well as identifying objectives, strategies and action plans to improve short- and long-term sales goals.

THE WAY WE WORK
You are open-minded, passionate and the way you work energizes others. You are committed to the timely delivery of a job well done. You behave with integrity and transparency.
Key Responsibilities

SCHOLARSHIP

TCRA ICT SCHOLARSHIP 2015-2016

The Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) is currently inviting highly qualified graduate and undergraduate students to apply for its 2015/16 ICT scholarships. The scholarship offers Tanzania students the opportunity to obtain degrees in the Information and Communication Technologies (ICT) and related areas. The Scholarship will be awarded on the basis of academic merit and interview to be conducted by the Scholarship Panel.

The Scholarship covers all university direct cost (tuition fees etc) and all student direct cost (meal, accommodation, book and stationary allowance, field practical training, special faculty requirement etc) for duration of the course, provided that they obtain good academic performance. The scholarship amount has been set based on average cost of fees and other costs for the students in public universities. Student may enquire scholarship amount for specific items from the Authority.

Eligibility:

HEKE HEKA ZA UCHAGUZI: JAMES LEMBELI ATIMKIA CHADEMA

2015 ni mwaka wa Uchaguzi Mkuu Tanzania, kila siku stori za Siasa zimekuwa kwenye headlines nyingi kuanzia Magazetini, kwenye TV,  mitandaoni  na Radioni .
Mbunge James Lembeli alikuwa pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Mazingira na Maliasili.. kuna habari za baadhi ya Wabunge wametangazwa

Said Alf awakimbia CHADEMA, Ataka ubunge kwa CCM

MBUNGE wa Jimbo la Mpanda Mjini, Bw. Said Amour Alfi (CHADEMA) ni miongoni  mwa makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambao wamechukua na kurejesha fomu za kuomba kugombea ubunge katika Jimbo jipya la Nsimbo, Wilaya ya Mlele, mkoani Katavi kwa tiketi ya CCM kwenye Uchaguzi Mkuu ujao.

Akizungumza na waandishi wa habari jana, Katibu wa CCM mkoani Katavi, Averin Mushi amethibitisha Bw. Arfi kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM katika jimbo hilo.

CHADEMA YAMKARIBISHA LOWASSA

                    
Dar es Salaam. Baadhi ya wabunge wa Chadema wamezungumzia taarifa zinazosambaa zikieleza kuwapo mkakati wa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kuhamia katika chama hicho, wengi wao wakimkaribisha.
Wakati wabunge hao wakikubali kumpokea, Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk Willibrod Slaa amesema wananchi wasubiri mambo yatakapokuwa tayari badala ya

KIBONZO

GWAJIMA ASOMEWA MASHITAKA



                              

Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, jana alikana kutoa lugha ya matusi dhidi ya  Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinalai Pengo, kwamba mtoto, hana akili na mpuuzi.

Askofu Gwajima alikanusha tuhuma hizo wakati akisomewa maelezo ya awali mbele ya Hakimu Mkazi wa Wilfred Dyansobera anayesikiliza kesi hiyo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam.

NAPE: CCM Iweza Kuyazuia MAFURIKO Kwa Mikono


Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimejigamba kwamba kimeweza kuzuia ‘mafuriko’ kwa mikono huku kikiwatakia  kila la kheri baadhi ya makada wake waliotangaza kutogombea kupitia chama hicho pamoja na wale waliokihama na wanaotaka kukihama.

Mwishoni mwa wiki iliyopita waliokuwa madiwani jimbo la Monduli kupitia CCM mkoani

BONGO MUVI WAZIDI KUCHANGAMKIA FURSA

                            

Msanii  wa  Bongo  movie, Irene  amechukua  fomu  ya  kugombea  ubunge  wa Viti  Maalum  kwa  tiketi  ya  CCM  huko  Tabora.

3. NEW JOBS

1. DIRECT SALES REPRESENTATIVES-KCB BANK



THE POSITION
Reporting to the Branch Manager, the Sales representatives will be responsible for acquisition of new business within the assigned Sales locations. The position is on contract terms for a period of 12 months.
This challenging opportunity to contribute to the growth of our business will involve the following:
  •      Deliver set Sales targets in asset and liability for; SME, Personal Banking, Advantage, Agent banking, Mortgage, Card and Micro Finance products.
  •      Provide excellent customer service.
  •      Participate in product campaigns to ensure product information is readily available to customers.
  •      Conduct door-to-door Direct selling
  •      Seek customer feedback on bank products.
  •      Provide regular Sales reports.
QUALIFICATIONS AND EXPERIENCE

MILIPUKO YA MABOMU BUNJUMBURA KABLA YA UCHAGUZI

Kumetokea ufyatulianaji wa risasi na milipuko usiku kucha nchini Burundi, usiku wa kuamkia uchaguzi wa rais uliozua utata. Kiongozi wa sasa wa nchi hiyo anawania muhula wa 3 kama rais licha ya madai kuwa anakwenda kinyume na katiba ya nchi.
Viongozi wengi wa upande wa upinzani wameapa kususia uchaguzi huo.