Friday, August 7, 2015

10 Things You Didn't Know About Cucumbers



They're delicious, yes, but cucumbers are so much more than just taste. Here are ten things that the supernatural cucumber does.

TETESI: HUENDA DR. SLAA ATARUDI OFISINI

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, anatarajiwa kuwasili ofisini kwake leo, baada ya kutoweka tangu Waziri Mkuu wa zamani,

LIPUMBA ATOWEKA CHINI YA ULINZI MKALI

Saa chache baada ya Profesa Ibrahim Lipumba kutangaza kujiuzulu wadhifa wa Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), ametoweka nchini.

BILION 218 ZATUMIKA BVR

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), imetumia zaidi ya Sh. bilioni 218 kwa uandikishaji wapigakura kwenye Daftari la Kudumu la Wapigakura kwa mfumo wa kielektroniki wa

JUMLA YA WABUNGE 51 WAMEANGUKA KURA ZA MAONI

Dar es Salaam. Wakati vyombo vya juu vya baadhi ya vyama vya siasa vikiwa vimeanza hatua za mwisho za kupitisha wagombea wa ubunge na udiwani tayari kwa Uchaguzi Mkuu

MASHUMBUSI;" SIJAMFUNGIA DR. SLAA"

Dar es Salaam. Siku moja baada ya Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa  yupo salama, mke wake, Josephine Mushumbusi amekanusha tuhuma zilizozagaa kuwa ndiye

CHENGE APANGUA TUHUMA 11 ZA BARAZA LA MAADILI DHIDI YAKE

Aliyekuwa Mbunge wa Bariadi Magharibi, (CCM), Andrew Chenge, amepambana na

HALI MBAYA: WAFANYAKAZI WA TRA HAWAJALIPWA MISHAHARA YA MIEZI MITATU WANAYODAI

Kama wewe ni mfanyakazi nazani unafahamu machungu ya kukosa mshahara, aidha kwa

POLISI: BUNDUKI 16 KATI YA 21 ZILIZOPORWA SITAKISHARI ZIMESHAKAMATWA

Dar es Salaam. Jeshi la Polisi limesema limeshakamata bunduki 16 kati ya 21 zilizoporwa kwenye Kituo cha Stakishari.

WAZIRI MWINGINE AANGUKIA PUA

Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk. Titus Kamani (pichani), amekuwa waziri wa tisa kuangushwa katika kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM).

MADIWANI 18 WA CCM WATIMKIA CHADEMA

Madiwani 18 wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro kupitia Chama Cha Mapinduzi


LUKUVI AWAPIGA CHINI MAOFISA ARDHI WAWILI KUTOKANA NA SAKATA LA VIWANJA

BUKOBA: VURUGU BAADA YA MATOKEO YA KURA ZA MAONI KUCHELEWESHWA

ACT NDANI YA MAJIMBO 203 KATI YA MAJIMBO 265


CHAMA cha ACT – Wazalendo kimesema hadi sasa wamejitokeza wagombea katika majimbo 203 ya uchaguzi nchini huku kura za maoni za kupata wagombea katika majimbo

NEC: MARUFUKU KUPIGA KAMPENI NYUMBA ZA IBADA

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jji Mstaafu, Damian Lubuva akizungumza na wanahabari juu ya mambo yahusuyo tume hiyo.
WAKATI joto la uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani unaotarajiwa kufanyika