Sunday, July 12, 2015

MAGUFULI AMTANGAZA MGOMBEA MWENZA

Mgombea mteule Wa CCM Dr. John Pombe Magufuli amemtangaza mgombea mwenza wake Kama picha ya Tweety inavyoonyesha.

MIKONO ILIYOZUIA MAFURIKO

Kuna wale waliokuwa wanafikiria ni jinsi gani mafuriko yanaweza kuzuiwa kwa mikono.
Hiyo ni mikono iliyoweza kufanya yote hayo.

MATOKEO YATANGAZWA RASMI

Takwimu sahihi za kura zilizopatikana kwa kila mgombea ni;

Magufuli 87.1
Amina Ali 10.5
Asha Rose Migilo 2.4

MAGUFULI APATA USHINDI WA KISHINDO

Hatimaye Yale matokeo yaliyokuwa yanasubiriwa kwa hamu yametolewa live ambapo mgombea aliyekuwa ametabiriwa na wengi Dr. John Pombe Magufuli ametwaa ushindi Wa kishindobkwa kupata  87% ya kura zote.

Wagombea wengine wameachwa mbali kwa kupata jumla ya asilimia 13 zilizobaki ambapo Amina Ali amepata asilimia 10 na Dr. Asha Rose Migiro amepata asilimia 3.
HONGERA SANA DR. MAGUFULI

MGOMBEA GANI WA CCM ATAKAYEWEZA KUPAMBANA NA KISIKI CHA DR. SLAA

Zikiwa zimebaki saa chache kabla ya Halmashauri kuu ya CCM haijamtangazea mteuliwa atakayegombea nafasi ya uraisi kupitia tiketi ya CCM, hali bado ni tete katika vichwa vya watu,  wengi wao wakitafakari na kujiuliza ninani hasa atakayeteuliwa ili kuchuana na Dr. Slaa. 

NINI KIMWEASIBU MEMBE NA JANUARI

Dodoma: HALMASHAURI Kuu ya Taifa ya CCM imemaliza kazi yake ya kuteua majina matatu ya wagombea wa CCM, ambayo hayakutarajiwa na wengi. NEC imewatupa nje, wagombea Bernard Membe na Januari Makamba.

 Sababu ya nini kimewasibu januari Makamba na mwenzake Membe mpaka kunyofolewa katika mchujo

NI NANI ALIPELEKA MAFURUSHI YA ELA DODOMA


DODOMA: Mtu mmoja mwenye asili ya Kihindi alikamatwa jana akiwa na mabilioni ya pesa Mjini Dodoma. Mitandao mingi ya kijamii iliripoti kwamba 'Mdosi 'huyo pia kingine alikamatwa na simu ikiwa na maelekezo kwamba pesa hizo ni za kuwapatia Wajumbe. 

Mkutano mkuu wa CCM Waahirishwa Usiku .Mgombea Kujulikana kesho Saa Nne

Wagombea watatu waliopitishwa na NEC, Kutoka kushoto ni Dk. John Magufuli , Amina Salum Ali na Dk. Asha-Rose MigiroMwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mh. Jakaya Mrisho Kikwete ametangaza kuahirishwa kwa mkutano  mkuu  wa  CCM  hadi  kesho  saa  nne  asubuhi  ambapo  mgombea  rasmi  wa  chama  cha  mapinduzi  atatangazwa  baada  ya  kura  za  wajumbe