Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mh. Jakaya Mrisho Kikwete ametangaza kuahirishwa kwa mkutano mkuu wa CCM hadi kesho saa nne asubuhi ambapo mgombea rasmi wa chama cha mapinduzi atatangazwa baada ya kura za wajumbe
kuhesabiwa. Zoezi la upigaji kura limemalizika muda mfupi uliopita.
kuhesabiwa. Zoezi la upigaji kura limemalizika muda mfupi uliopita.
Waliopigiwa kura na mkutano mkuu usiku huu ni wale waliofanikiwa kuingia 3 bora ambao ni Magufuli, Amina Salum na Asharose Migiro.
No comments :
Post a Comment