Friday, July 10, 2015

Vyama vya siasa Zanzibar vyakataa kusaini maadili ya uchaguzi



Kikao hicho kilichohuduriwa na wajumbe wa vyama vyote vya siasa kilifanyika jana katika ukumbi wa hoteli ya Grand Palace na kushuhudiwa na Mwenyekiti wa tume hiyo, Jecha Salum Jecha, Mkurugenzi Salum Kassim Ali na maafisa wengine wakiwemo Makamishna wa tume hiyo pamoja na maafisa wa Shirika la UNDP.


Maadili hayo yalipangwa kutumika wakati wote wa uchaguzi mkuu ambapo wadau 


Vurugu Bagamoyo: Kituo cha Polisi Bunju chachomwa moto

Jengo la polisi likiteketea kwa moto
JESHI la Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni linawashikilia watu watano kwa tuhuma za kuchoma kituo kidogo cha Polisi kilichopo Bunju ‘A’ jijini Dar es Salam.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni Camillus Wambura alisema tukio hilo lilitokea saa 3:00 asubuhi wakati Tanroads pamoja na Jeshi la Polisi walipokuwa katika mazungumzo ya kuweka matuta katika barabara hiyo.

Alisema kabla ya kuchomwa kituo hicho dereva aliyetambulika kwa



UPDATED: YANAYOJIRI DODOMA

Tweet ya Official acount ya ccm

Vikao Vyote vya CCM Kufanyika Leo Na Majina ya 5 Bora na 3 Bora Yatajulikana leo

Dodoma: KATIBU wa NEC, Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi, Nape Nnauye amesema, leo hii majina matano ya makada wa chama hicho walioomba kuteuliwa na CCM kuwania kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, yatajulikana, na kufuatia majina matatu ya makada hao ambayo yatapelekwa


Ugiriki yatoa mapendekezo kujinusuru

Hatimaye Serikali ya Ugiriki imewasilisha mapendekezo yake ya kutafuta ukombozi wa mkopo kutoka kwa wadeni wake wa kimataifa.
Miongoni mwa mapendekezo hayo ni kupandishwa kodi, mabadikilo katika mfumo wa malipo ya uzeeni na kupunguzwa matumizi ya serikali, yote,

Dawa inayopunguza makali ya saratani

Utafiti huo uliochapishwa katika jarida la asili,uko katika awamu ya kwanza lakini homoni za Progesterone zinaweza kutumika kupunguza ukuwaji wa uvimbe.
Watafaiti hao kutoka nchini Uingereza na Australia wanasema kuwa matokeo hayo ni muhimu na sasa wanaanda majaribio yake.

Mapinduzi mengine yaandaliwa Burundi

Burundi: Mmoja wa viongozi katika mapinduzi yaliyozimwa nchini Burundi hivi karibuni ya kumpindua Rais Piere Nkurunziza ameiambia BBC kuwa waasi wao wamekuwa wakiwapa mafunzo polisi na askari kwa ajili ya jaribio jingine la kumwondoa rais Pierre Nkurunziza.


Vigezo vya uteuzi wagombea kupitia CHADEMA


SIKU chache baada ya zoezi la kuchukua na kurejesha fomu za kugombea nafasi za ubunge na udiwani kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kukamilika katika majimbo yasiyo na wabunge sasa chama hicho kimetoa waraka mzito kuhusu namna ya kusimamia kikamilifu hatua zinazofuata kwa mujibu wa ‘katiba na kanuni za chama.’


MWISHO WA VICHWA 33 NI LEO, MGOMBEA WA URAISI ATATANGAZWA RASMI TAREHE 11

Dodoma. Kisu kikali cha Kamati Kuu ya CCM (CC) leo kitaondoka na vichwa 33 kati ya 38 vya walioomba kuteuliwa kupeperusha bendera ya chama hicho kumrithi Rais Jakaya Kikwete anayemaliza ngwe yake.
Kikao hicho ni hatua ya pili baada ya kukamilika kwa kikao cha Kamati ya Maadili kilichokutana jana usiku