Sunday, July 26, 2015
LOWASSA RASMI UKAWA
BAADA ya vuta nikuvute katika vyama vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kuhusu kukubaliwa au kutokubaliwa kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Ngoyai Lowassa kujiunga na umoja huo ili kuongeza nguvu ya kisiasa, hatimaye mwanasiasa huyo maarufu nchini amekubaliwa na tayari amejiunga rasmi Ukawa akiwa mwanachama halisi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), imefahamika.
SURA YAKO YA SAUTI SOUL YAMFANYA OBAMA ASHINDWE KUKAA CHINI
Kama ulipitwa, hii nayo ni ya kuiangalia. Raisi wa Marekani Barack Obama, jana alishindwa kujizuia na kujikuta akisa-dance pamoja na wanamuziki mahiri wa Sauti Soul wa Kenya.
KEISHA ASHINDA KURA ZA MAONI
MSANII wa Bongo Fleva, Khadija Shabani Taya 'Keisha' ameibuka mshindi kwenye kura za maoni za Ubunge wa viti maalum kundi la Walemavu MKoa wa Dodoma na kuwa mshindi wa kwanza.
NYAMBARI NYANGWINE ANG'AKA
Mbunge wa Jimbo la Tarime anayemaliza muda wake, Nyambari Nyangwine, amedai kuchezewa rafu akisema kuna baadhi ya vijana wamekuwa wakinywa
WAMILIKI WA MAGARI WATAKAOGOMA KUSHITAKIWA
BARAZA la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA CCC), limetishia kufungua kesi dhidi ya wamiliki wa magari watakaogoma na
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)