Sunday, July 26, 2015

SURA YAKO YA SAUTI SOUL YAMFANYA OBAMA ASHINDWE KUKAA CHINI

Tokeo la picha la OBAMA PLAYING SURA YAKO SAUTI SOUL
Kama ulipitwa, hii nayo ni ya kuiangalia. Raisi wa Marekani Barack Obama, jana alishindwa  kujizuia na kujikuta akisa-dance pamoja na wanamuziki mahiri wa Sauti Soul wa Kenya.
Pata clip hiyo hapo chini


No comments :

Post a Comment