Monday, July 27, 2015

Does Facebook Lead Young Women to Dangerous Diets?

"Risk is highest for those who use social media site to compare themselves to friends, study finds"
The study included 128 college-aged women who completed an online survey about their eating habits and their emotional connection to Facebook -- such as how much time they

MAJANGIRI YALIYOMUUA SIMBA MAARUFU NCHINI ZIMBABWE YASAKWA

Msako mkali unaendelea nchini Zimbabwe dhidi ya mwindaji haramu aliyemuua mmoja kati ya simba maarufu nchini humo . Mtu huyo anaaminiwa kumlipa mmoja wa walinzi wa

BURUNDI: AGATHON RWASA AHUDHURIA BUNGE

AGATHON RWASA
Kiongozi wa upinzani nchini Burundi Agathon Rwasa amehudhuria kikao cha kwanza cha bunge tangu uchaguzi wa ubunge mnamo tarehe 29 juni.

NEW JOBS; LAPF

INTRODUCTION
The LAPF pension Fund is a social institution affiliated to the prime Minister’s Office, Regional Administration and Local Government (PMORALG). Its head office is located at

TFDA: GUIDELINES FOR REGISTRATION AND LICENSING OF FOOD PREMISES

INTRODUCTION

Registration of premises for dealing in food businesses is a pre-requisite requirement prior to commencing of such businesses. This requirement is stipulated under section 18 of the Tanzania

MBUNGE VITIMAALUMU CHADEMA AHAMIA ACT-MAENDELEO


Katibu wa Mipango na Mikakati wa Chama cha ACT-Wazalendo, Habibu Mchange (kushoto), akimkabidhi kadi ya chama hicho, aliyekuwa mbunge wa Viti maalumu kupitia

HAMA HAMA ZA WABUNGE, ZAMKUMBA LETICIA NYERERE

Leticia Nyerere akifafanua jambo kwa waandishi wa habari

MBUNGE wa Viti Maalum wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mara, Leticia Nyerere amengatuka rasmi leo katika chama hicho na kudai kuwa anarudi

LOWASSA RASMI UKAWA

 
Mwalimu Nyerere alishawahi kusema; "Watanzania wanataka mabadiliko na wasipoyapata ndani ya CCM, watayatafuta nje ya CCM" 
Mwalimu alikuwa akihutubia Mkutano Mkuu wa Halmashauri Kuu ya CCM mkoani Dodoma wakati wa mchakato wa kumpata rais wa awamu ya tatu mwaka 1995. Alisema mambo mengi lakini aliwasisitizia wajumbe kuwa Watanzania wanataka mabadiliko na kwamba wasipoyapata ndani ya CCM, watayatafuta nje ya CCM.

Hii ni moja ya kauli  ambayo Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli, Edward Ngoyai Lowassa aliziongea Arusha May 30 2015 alipotangaza nia ya Kugombea Urais kupitia CCM.

KAMA NI KWELI LOWASSA SIYO FISADI,JE NI KIPI KITATOKEA IWAPO LOWASSA ATAKUWA RAISI ?


 
Kwa nini Lowasa alipokuwa CCM aliitwa fisadi, hii ni kwa sababu yeye kama waziri mkuu, msimamizi mkuu wa serikali alitakiwa akemee inshu zote za Ufisadi ikiwemo ile ishu

MADAI YA RUSHWA YAIBUKA UCHAGUZI WA VITI MAALUMU CCM

Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Dodoma, Felister Bura
Mbunge wa viti maalumu Dodoma, Felister Bura
WAGOMBEA 19 kati ya 22 wa ubunge wa Viti Maalum kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), mkoani Dodoma, wamegoma kusaini matokeo ya uchaguzi huo, wakidai kuwapo

JAMES MBATIA APITA KURA ZA MAONI VUNJO BILA KUPINGWA

Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia amepita bila kupingwa katika mchakato wa kumtafuta mgombea ubunge jimbo la Vunjo, mkoani Kilimanjaro kupitia chama hicho.

MKURUGENZI WA FEDHA WA CHADEMA ACHEMKA MBELE YA MWANA-MAMA LUCY OWENYA

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akikata
Dar/Mikoani. Mbunge wa Viti Maalumu (Chadema), Lucy Owenya amewabwaga makada wanane wa chama hicho, akiwamo Mkurugenzi wa Fedha wa Chadema, Anthony Komu katika kura za maoni kuwania ubunge Jimbo la Moshi Vijijini.

ACT HAITAJIUNGANA NA UKAWA

Dar es Salaam. Kiongozi wa ACT – Wazalendo, Zitto Kabwe (pichani) amesema kuwa chama chake hakitashirikiana na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi