Msako mkali unaendelea nchini Zimbabwe dhidi ya mwindaji haramu aliyemuua mmoja kati ya simba maarufu nchini humo . Mtu huyo anaaminiwa kumlipa mmoja wa walinzi wa
wanyamapori katika mbuga ya wanyamapori ya Hwange zaidi ya kilomita elfu hamsini kumuua simba huyo 'Cecil the lion' mapema mwezi huu .
wanyamapori katika mbuga ya wanyamapori ya Hwange zaidi ya kilomita elfu hamsini kumuua simba huyo 'Cecil the lion' mapema mwezi huu .
Simba huyo mwenye umri wa miaka 13 alikua kivutio maarufu katika mbuga hiyo.
Amekua akivalia rangi ya kutambuliwa na setilait aliyovalishwa na watafiti wa chuo kikuu cha Oxford cha Uingereza.
Zimbabwe imekuwa na changamoto ya kukabiliana na wawindaji haramu wa wanyamapori
No comments :
Post a Comment