Saturday, August 1, 2015

Kubenea aibuka kidedea kura za maoni Ubungo

MTIA nia wa Ubunge Jimbo la ubungo kupitia tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),

Lowassa arejesha fomu, wanachama 1.6 milioni wamdhamini

Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa alipokuwa anarudisha fomu Makao Makuu ya Chadema
HATIMAYE Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa leo amerejesha fomu ya kuomba uteuzi

Kada wa Vijana Chadema Dar auawa kwa risasi

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Vijana Chadema Tawi la Luis, Mbezi Luis, Dar es Salaam,

Nape anaswa na Takukuru

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Lindi, imemhoji Katibu wa

Katibu CCM Mtwara akutwa na kura za maoni ofisini kwa mgombea

Katibu wa CCM mkoa wa Mtwara, Shaibu Akwilombe
Chama cha Mapinduzi (CCM), mkoani Mtwara kimetengua uteuzi wa aliyekuwa katibu

TAMKO LA CCM ZANZIBAR KUHUSU MAAMUZI YA DODOMA

Katibu wa CCM Wilaya ya Mjini Ndg Mohammed Omar Nyawanga akisoma Tamko la Mikoa Mnne ya CCM Unguja kuhusuana na Mhe Edward Lowassa. kwa Waandishi wa habari na Makada wa CCM Afisi Kuu ya CCM Zanzibar leo. (picha: ZanziNews blog
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Too Much Social networks Tied to Poor Teen Mental Health

 
"Study found those on social media sites more than 2 hours a day were more likely to have problems"
Teens who frequently use social media are more likely to say they struggle with mental

MASWALI YAZIDI MAJIBU KUHUSU DR. SLAA NA MNYIKA


Hofu imetanda ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na wananchi kwa ujumla

KAFULILA AFUTIWA KESI ALIYOFUNGULIWA NA IPTL NA PAP

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali kesi namba 301 iliyofunguliwa

TAKUKURU YAMUHUSISHA MBUNGE WA BABATI MJINI NA RUSHWA KATIKA KURA ZA MAONI

Kisyeri Chambiri
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Manyara, imemhusisha

SHERIA YA CHAKULA NA DAWA TANZANIA: TAARIFA MUHIMU ZINAZOTAKIWA KUWEKWA KWENYE LABEL YA CHAKULA





Kwa mujibu wa sheria ya chakula na madawa ya mwaka 2006 (TFDA, Food drug and cosmetic (Food labeling regulation, 2006) mtu yeyote haruhusiwi kuuza chakula