Friday, July 17, 2015

MWANAMKE APOTEZA MIGUU NA MIKONO BAADA YA KUJIDUNGA SINDANO YA KUONGEZA MAKALIO

Suala la baadhi ya wasichana kutumia madawa ya kujirembesha au kubadilisha maumbile mara nyingi linazua mijadala mikali kutokana na madhara yake.

OBAMA HATOZURU KIJIJINI CHA BABA YAKE

#ObamainKenya ndilo neno linalotawala mitandao ya kijamii nchini Kenya huku rais huyo akitarajiwa kulitembelea taifa hilo.
Hatahivyo wakaazi wa kijiji cha Kogelo ambapo babaake Obama alizaliwa na kulelewa sasa

Je,mbu hutambua vipi mwili wa mwanadamu usiku?

            
Utafiti mpya umebaini kwamba mbu hutafuta kitu cha kula kwa kutumia vigezo vitatu, harufu, macho na joto.
Utafiti huo unasema kuwa mbu anaweza kufahamu aliko mwanadamu kupitia hewa ya kaboni ambayo watu hupumua nje.
Inasemekana mbu hunusa hewa hii kiasi cha mita 50.

KIBONZO


BAADA YA UPEPO WA URAISI KUWA MBAYA, HATIMAYE MAKONGORO NA MUHONGO WAGEUKIA UBUNGE

Dar/Mikoani. Siku chache baada ya kutangaza kuridhika na mapendekezo ya Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ya kutompitisha kupeperusha bendera ya chama hicho kwenye kinyang’anyiro cha urais, Charles Makongoro Nyerere amejitosa

NEW JOBS

Jobs at Tanzania Agricultural Development Bank - July 2015


- CREDIT ADMINISTRATION MANAGER 

- SENIOR CREDIT APPRAISAL OFFICER 

- SENIOR MONITORING AND EVALUATION OFFICER 

- SENIOR BUSINESS DEVELOPMENT OFFICER 

HOW TO APPLY

KAMBI YA ACT-MAENDELEO YAENDELEA KUIMARIKA, MOSES MACHALI AINGIA KUNDINI

Baada ya tetesi za muda mrefu, hatimaye Mbunge wa Kasulu Mjini (NCCR-Mageuzi ), Moses Machali amejiunga na Chama cha ACT - Wazalendo.

Naibu Katibu Mkuu wa ACT - Wazalendo, Msafiri Mtemelwa alisema hayo jana alipokuwa akimtambulisha kwa waandishi wa habari,

AJALI YA DALADALA NA FUSO YAUA WANNE NA KUJERUHI 11

WATU wanne wamefariki dunia na wengine 11 wakijeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea Wilaya ya Hai, Kilimanjaro ikihusisha gari aina ya Hiace iliyokuwa

JESHI LA POLISI LAIMARISHA MSAKO



SIKU moja baada ya jeshi la polisi kuwaaga kwa heshima za kijeshi askari wake wawili kati ya wanne waliouawa wakiwa kazini katika kituo cha Stakishari, Ukonga, Dar es Salaam

CECAFA YATOA UFAFANUZI KUHUSU MWALIKO WA MAGUFULI KUFUNGUA MASHINDANO YA KAGAME CUP


Katibu mkuu wa Shirikisho la soka la Africa Mashariki na Kati CECAFA Bwana Nicholas Musonye amekanusha uvumi kwamba CECAFA imeamua kumpigia kampeni

Wanajeshi wanamaji wanne wauawa Marekani

Wakati WATANZANIA bado tunaomboleza vifo vya polisi wetu wanne na raia watatu vilivyotokana na kushambuliwa kwa kituo cha polisi, mtu mwenye silaha amewaua askari wanne wa jeshi la wanamajiwa Marekani

Vazi la Burqa lapigwa marufuku Cameroon

Maafisa wa serikali kaskazini mwa Cameroon wamepiga marufuku wanawake kuvalia vitambara vinavyofunika nyuso zao maarufu kama Burka.

KUKAA KWA MUDA MREFU KUNAONGEZA HATARI YA KUPATA KANSA KWA WANAWAKE

" Madhara kama haya hayajaonesha kuwapata wanaume, na imeendelea kuwa hivyo hata baada ya watafiti kuondoa sababu ya kutokufanya mazoezi"




Kukaa kwa muda mrefu
kunaweza kunaongeza hatari ya wanawake kupata kansa ya maziwa pamoja na kansa ya damu, suala ambalo limekua ni

NEW JOBS

TANZANIA PORTS AUTHORITY JOBS - 7/17/2015

NATURE OF SCOPE
Tanzania Authority (TPA) was established under the Ports Act No. 17 of 2004. The Authority is vested with the obligation and responsibility of developing managing and promoting Maritime Sector in Tanzania mainland
The major role of TPA is to enhance the advantage of the geographical position of Tanzania’s maritime resources
In light of the above, TPA invites applications from suitably qualified and competent applications to fill the following vacant posts
POST; SENIOR MANAGEMENT SYSTEMS OFFICER (WORK SYSTEMS) – SALARY

MAISLAMU KUENDELEA NA MFUNGO


Sheikh Mkuu wa Dar es Salaam ametangaza kuwa waislam wataendelea na funga zao za mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa kuwa mwezi haujaonekana kama ilivyotarajiwa.

Amesema kutokana na sababu hiyo, inatazamiwa kuwa sikukuu ya Eid El Fitr itafanyika tarehe 18 Julai 2015.

Mhindi Aliyekamatwa na Milioni 700 Dodoma Arudishiwa Fedha zake

Jeshi la polisi mkoani Dodoma limekanusha taarifa zilizozagaa kuhusiana na Raia wa Asia kukamtwa na fedha zaidi ya sh. m.700 kwa madai ya kuwahonga wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM ili wamchague mmoja kati ya waliokuwa wanawania nafasi ya Urais

CCM wajipanga kumng’oa Mdee Kawe

Katibu wa CCM Wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam, Juma Shesha akimkabidhi Fomu, Jumaa Mhina ya kuomba kuteliwa na Chama hicho kuwania Ubunge jimbo la Kawe  katika uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika oktoba. 
Dar/mikoani. Mbunge wa Kawe, Halima Mdee (Chadema) ameanza kuonja joto la kuwania ubunge katika jimbo hilo baada ya watu wanane kujitokeza kwa siku ya kwanza kuitaka nafasi hiyo.

Rugemalila Atangaza nia Ya Kugombea Ubunge Kibaha mjini

Mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM Taifa (NEC) Rugemalila Rutatina amejitokeza   na  kutangaza nia yake ya kugombea ubunge kupitia tiketi ya CCM katika jimbo la Kibaha mjini.