Friday, July 17, 2015

MWANAMKE APOTEZA MIGUU NA MIKONO BAADA YA KUJIDUNGA SINDANO YA KUONGEZA MAKALIO

Suala la baadhi ya wasichana kutumia madawa ya kujirembesha au kubadilisha maumbile mara nyingi linazua mijadala mikali kutokana na madhara yake.


Mwanamke mmoja aliyekua anapenda sana mambo ya urembo aitwaye Apryl Michelle Brown alipata madhara makubwa yaliyosababisha kukatwa miguu na mikono mara baada ya kujidunga sindano ya kongeza makalio.


No comments :

Post a Comment