Tuesday, July 28, 2015

NUKUU YA HOTUBA YA LOWASSA

1.Nimetumia wiki mbili kutafakari hatma yangu ktk Siasa, najua wengi wamesubiri kwa hamu.

UKARIBISHO WA LOWASSA UKAWA


Mhe. Freeman Mbowe (katikati) kulia kwake ni Regina Lowassa (mke wa Lowassa) kushoto

10 Muscle Moves to Help Tame Diabetes

woman flexing muscles
If you have diabetes, you know the importance of controlling your blood sugar. But did you know that strength training can play a starring role? Simple moves done regularly can

MTOTO WA GADDAFI AHUKUMIWA KUNYONGWA

Mahakama moja nchini Libya imemuhukumu kumyonga mwana wa aliyekuwa rais wa taifa hilo Gaddafi,Saif al Islam na wengine wanane kufuatia uhalifu wa kivita uliohusishwa na

25 SCHOLARSHIPS

1. DAAD Scholarships for Developing Countries’ Students, 2016-2017
Provided by:
 BMZ (Federal Ministry for Economic Cooperation and Development), Germany

PICHA: RAMESH PATEL AKAMATWA NA TAKUKURU

Ramesh Patel Mgombea Ubunge jimbo la Ukonga Jijini Dar es salaam kupitia CCM, akamatwa na Takukuru akitoa

TLP ITASIMAMISHA MGOMBEA WAKE

Chama cha TLP kimesema hakipo tayari kuungana na chama kingine chochote kile kwa makubaliano ya kumsimamisha mgombea mmoja badala yake

NEW JOB MARINE SERVICE

Assistant Commercial & Operations Officer

1.0. QUALIFICATIONS
i. Certificate of Secondary Education Examination (CSEE) with passes in
Mathematics, English and Kiswahili Language/ Advanced Certificate of

OBAMA KUHUTUBIA UMOJA WA AFRIKA

Rais wa Marekani Barack Obama anaendelea na ziara yake nchini Ethiopia ambapo leo anatarajiwa kutoa hotuba kwa viongozi wa muungano wa Afrika.

AJALI MKOANI TABORA


Ajali imetokea barabara ya kwenda Urambo eneo la Mororo,Tabora ikihusisha treni na basi la abiria.

KIKWETE ATUNUKIWA PHD CHUO KIKUU CHA NEWCASTLE

Australia. Rais Jakaya Kikwete anatarajiwa kutunukiwa Shahada ya Uzamivu (PHD) ya Heshima ya Sheria (Degree of Doctors of Laws honoriscausa – honorarary LLD) katika Chuo

VYAMA 21 VYA SIASA VYASAINI MAADILI YA UCHAGUZI 2015

Vyama vya Siasa 21 vinavyotarajiwa kushiriki katika uchaguzi Mkuu wa Rais, wabunge na Madiwani baadaye mwaka huu vimesaini "Maadili ya Uchaguzi" yatakayotumika wakati wa kampeni, kupiga kura

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU HABARI ILIYOANDIKWA KWENYE GAZETI LA MWANANCHI


THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS

Telephone: 255-22-2114512, 2116898
Fax: 255-22-2113425

PRESIDENT’S OFFICE,
STATE HOUSE,
1 BARACK OBAMA ROAD,
11400 DAR ES SALAAM.
Tanzania.


TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI


Gazeti la Mwananchi la leo, Jumatatu, Julai 27, 2015, kwenye ukurasa wake wa 26 limechapisha habari