Tuesday, July 28, 2015

AJALI MKOANI TABORA


Ajali imetokea barabara ya kwenda Urambo eneo la Mororo,Tabora ikihusisha treni na basi la abiria.
Inasemekana kuna watu wamepoteza maisha kwenye eneo la tukio baada ya gari la abiria kugongana na treni la mizigo, watu waliofariki bado hajafahamika idadi yao kamili waliotambuliwa ni wawili mmoja ni Samweli mkazi wa kata ya Ufuruma wilayani Uyui na Mwingine ni Issa.

No comments :

Post a Comment