Thursday, July 23, 2015

8 NEW SCHOLARSHIP

Scholarship Positions-23/ 07
1. Czech Republic Government Scholarships for Developing Countries, 2016
Provided by: Government of the Czech Republic
Courses: Bachelor/ Master/ Doctoral Degree/ Language and Preparatory Studies Subjects:Economics, Agriculture, Informatics, Environment and Energetics
Eligible Students: Developing Countries
Application Deadline 30 September 2015

Apply Now
Tags: 2016Czech RepublicFeaturedGovernmentJuly Week 4Masterscholarships,UndergraduateUpdated Scholarships

2. Quest Scholarships for Canadian and International Students in Canada, 2016
Provided by: Quest University Canada
Courses: Undergraduate Programme Subjects: Multiple Subjects
Eligible Students: Canadian and International Students
Application Deadline September 1, 2015

8 Gym Myths Busted: Because Regular Running Won't Help You Lose Weight

8 Gym Myths Busted: Because Regular Running Won't Help You Lose Weight

Gyms can be a pretty intimidating place - especially now we’re all chanting “strong is the new skinny” and wandering around with hand weights, squatting under heavy dumbells and swinging around the medicine balls.

Can’t we just all go back to a light jog on the treadmill and call it a day?

Well no, actually we can’t. And here are 8 gym myths that you need to ditch immediately.


You Can Only Get “Fit” While You’re Young


The idea that gym memberships come with an age limit is far from the truth. If you hated

NEW JOBS

Human Resources Manager - The Guardian Limited

The Guardian Limited, The home of Great Newspapers, the publishers of leading Tanzania newspapers, Nipashe, Nipashe Jumapili, The Guardian, The,Guardian On Sunday and Sema Usikike is looking forward to recruit a highly qualified and experienced individual to occupy the position stated below:

POSITION TITLE:
Human Resources Manager- Reporting to Managing Director.
SUMMARY:
The Human Resource Manager is directly responsible for the overall administration, coordination and evaluation of the Human Resource Functions by-overseeing department functions and managing employees.

MAIN OBJECTIVES:
To provide a high quality service to employees and to contribute to the long term development of the HR functions by ensuring a consistently high level of customer care is provided to all employees and people who use the HR Services.
To provide an effective and efficient output of work to meet the demands made of the role, and to assist in all aspects of the work undertaken by the Human Resources Department.
To promote the Company's core values and fulfill the aims and objectives of the Service.

RAISI MUSEVEN ATOA "SINGLE"

                                       
Lakini bado bado haijafahamika wazi ikiwa yeye binafsi ndie aliyeutoa ama alishiriki katika kuutoa. Hata hivyo kuna tetesi kwamba ni wimbo mpya wa kampeni za uchaguzi mkuu ujao 2016.
Sauti bila shaka ni rais Museveni, wimbo unaitwa Yegoma. Maana yake kwa taji --- kama la ufalme. Maneno ya wimbo yanelezea uchungaji wa ngombe , ala za muziki na maisha marefu. Beti ya kwanza inasema (Oruyogo-yongo - orwa Kabale) ikimaanisha usisalimu amri.

Buhari: Marekani inawasaidia Boko Haram!

Rais Mahammadu Buhari na Rais Obama
Buhari akiwa na mwenyeji wake Obama alipoitembelea Marekani

Marekani "inawasaidia na kuchochea " kundi la wanamgambo wa kiislam wa Boko Haram kwa kukataa kutoa silaha kwa Nigeria, ni kauli ya rais wa Nigeria Mahammadu Buhari.
Sheria ya Marekani inazuia serikali kuuza silaha kwa nchi ambazo zinashindwa kushughulikia ipasavyo masuala ya haki za binadamu.

AL SHABAAB WACHAKAZWA

                        Vikosi vya AU
Mji muhimu wa mwisho uliokuwa mikononi mwa kundi la Al Shabaab kusini magharibi mwa Somalia wa Baardheere umechukuliwa tena na vikosi vya Muungano wa Afrika (AU) -miaka 7 baada ya wapiganaji hao wenye itikadi kali kuingia kwa mara ya kwanza katika mji huo .

BVR ZALETA KIZAA ZAA

Fundi wa mashine za Biometric Voters
Dar es Salaam. Kasoro za uandikishaji wananchi katika Daftari la Kudumu la Wapigakura zilizokuwa zikitokea katika mikoa mbalimbali nchini, zimejitokeza pia jijini Dar es Salaam ikiwa ni siku ya kwanza ya kazi hiyo.


AJALI MBAYA YA BASI

                  


Taarifa kutoka mkoani Dodoma zinasema watu  zaidi  ya 10  wamefariki dunia usiku wa kuamkia leo , huku zaidi ya abiria 40 wakijeruhiwa vibaya baada ya basi la kampuni ya SIMIYU EXPRESS walilokua wakisafiria kutoka Mwanza kwenda DSM kupasuka tairi na kuacha njia na kugonga mbuyu na kisha kupinduka.
 
Taarifa zinasema ajali hiyo ni mbaya sana kuwahi kutokea mkoani Dodoma.Majeruhi wamekimbizwa katika Hospitali ya rufaa ya mkoa wa Dodoma kwa ajili ya matibabu.