VIONGOZI mbalimbali wa dini nchini wameandaa maandamano kwa lengo la kumuona Rais jakaya kikwete ili kumuomba alifanyie mabadiliko makubwa Jeshi Polisi.
Mabadiliko hayo ni pamoja na kubadili mawaziri wote wa mambo ya ndani, mkuu
Dodoma. Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Dk Emmanuel Nchimbi ambaye pia alikuwa mwanamkakati katika kambi ya Edward Lowassa katika mbio za urais, amesema kambi
Dar es salaam: Askari wa nne wa Jeshi la Polisi na raia watatu wamefariki dunia katika tukio la ujambazi lililotokea katika kituo cha Polisi cha Stakishari kilichopo Ukonga jijini Dar es Salaam.
Katika tukio hilo watu wapatao nane wamesadikika kuingia katika kituo hicho cha Polisi eneo la Stakishari majira ya saa 4 usiku wa kuamkia jana.