Saturday, July 18, 2015

VIDEO: KUTANA NA MSICHANA ANAYELIA MACHOZI YA DAMU



Kwajina anaitwa Twinkle Dwivedi anapatikana India ambaye ame-make headline katika vyombo vya habari mbalimbali duniani kutokana na uwezo wake wa kulia machozi ya damu. Ili uweze kumfahamu vizuri angalia Documentary  yake hapo chini:

Eid el Fitr ni siku ya furaha, kufanya ibada

Tokeo la picha la eid al fitr
Waislam dunia nzima wamekamilisha ibada muhimu ya kufunga Mwezi Mtukufu wa Ramadhan. Furaha zimetawala kila kona, si kwa sababu sasa wameachiwa huru bali kwa sababu wamefaulu kutekeleza amri ya kufunga. 
Imesuniwa siku ya Eid kula chakula kizuri, kuvaa nguo nzuri na kufanya yote mazuri yanayompendeza Allah (S.W).

KUFUATIA TUHUMA ZA KUGUSHI: MMILIKI WA MABASI YA UDA ASAKWA

Mwenyekiti Mtendaji wa Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA), Robert Kisena
Mwenyekiti Mtendaji wa Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA), Robert Kisena
Dar es salaam: Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetoa hati ya kumkamata mmiliki wa mabasi ya UDA Robert Kisena pamoja na aliyekua Ofisa ukaguzi mwandamizi wa Benki ya TIB, Adam Yusuph. Hati hizo zilitolewa kutokana na

ALIYEKUA MLINZI WA DR. SLAA KWA TAKRIBANI MIAKA 14 AHAMIA ACT-MAENDELEO


Wakati chama cha ACT- Maendeleo kikiendelea kujizolea wanachama, aliyewahi kuwa mlinzi wa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Khalid Kagenzi naye alionekana katika ofisi za ACT-Maendeleo.

Alipoulizwa na waandishi wa habari kama amehamia Kagenzi alijibu: