Wednesday, August 5, 2015

MH370: Part Found On Reunion Island Is From Missing Plane


The plane part that was found on a beach in theIndian Ocean was determined to be part of MH370, the Malaysia Airlines flight that vanished more than a year ago, Malaysia's prime

HALI YA SINTOFAHAMU YAENDELEA CUF

Hali ya sintofahamu imeendelea kuwakumba wafuasi wa chama cha CUF kutokana na

WANACHAMA WA CUF WAVAMIA OFISI

Wakati mwenyekiti wa chama cha wananchi CUF akitarajiwa kuongea na wanahabari muda mchache

MH370: UCHUNGUZI WA KINA WA MABAKI YA BAWA LA NDEGE WAANZA

Watalamu kutoka Ufaransa, Malaysia na Australia wameanza kuchunguza mabaki ya bawa

KENYA: WAKIMBIZI WA SOMALIA WARUDISHWA MAKWAO


Wakimbizi wa kwanza 100 wamerejeshwa Somalia kufuatia makubaliano kati ya Shirika la Umoja wa mataifa linaloshughulikia maswala ya wakimbizi,UNHCR na serikali ya Kenya na

BOTI YAZAMA ZIWA VICTORIA


Boti moja iliyokuwa imebeba abiria 23 imegongana na mtumbwi wa wavuvi na kuzama

CHEVENING SCHOLARSHIP


FOR 2016/2017 CHEVENING SCHOLARSHIPS


In just a few weeks' time, nearly 2,000 dynamic future leaders from all over the world, and from all professional backgrounds, will arrive in the UK to start a life-changing year studying and discovering the UK as a Chevening Scholar. This time next year, this really could be you, and the first step to being awarded a prestigious Chevening Scholarship is to apply.
Applications for Chevening Scholarships are open until 3 November 2015.
We are looking for ambitious and academically strong young professionals who have displayed leadership potential. If this is you, then start preparing your Chevening application. Apply before 3 November 2015; it could be the best decision you ever make.
APPLY

JUKWAA LA KATIBA TANZANIA (JUKATA) LAMTAKA RAISI KIKWETE ATOE TAMKO

Jukwaa la Katiba Tanzania (Jukata), wamemtaka Rais Jakaya Kikwete atoe tamko na

KIKWETE ASAINI MISWADA YA SHERIA YA GESI

Rais Jakaya Kikwete, amesaini miswada mitano ya sheria, iliyopitishwa na Bunge la 10

MNYIKA ASHINDA


Mbunge wa Jimbo la Ubungo, John Mnyika (Chadema), ameshinda katika kura za maoni za

LOWASA: "TUTACHUKUA NCH ASUBUHI"

Dar es Salaam. Akihutubia mkutano huo mkuu wa Chadema kwa mara ya kwanza, Lowassa alisema chama hicho kupitia Ukawa kitachukua nchi mapema asubuhi Oktoba 25.

MAGUFULI: "CCM itashinda na wala simuoni mtu wa kutushinda"

Dar es Salaam. Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli, na mgombea mwenza, Samia Suluhu Hassan jana walichukua fomu kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi

Waziri mwingine, wabunge 4 waanguka kura za maoni CCM

SIKU mbili baada ya mawaziri watano kushindwa katika kura za maoni ya ubunge ndani ya

Bila sera zenye tija Lowassa atakwama Ukawa


Mtikisiko wa aina yake umesikika katika siasa nchini baada ya Waziri Mkuu wa zamani

RADIO YAFUNGWA SUDANI KUSINI


Vikosi vya Usalama nchini Sudani Kusini vimefunga kituo cha redio iliyokuwa ikiunga