Wednesday, July 8, 2015

Lecturer

The College of African Wildlife Management (MWEKA), founded in 1963 is a center of excellence in professional and technical wildlife and tourism management training in Africa. It is registered with the National Council of Technical Education (NACTE) in Tanzania and recognized by the East African Community (EAC) and the Southern African Development Community (SADC). It is situated 14 km from Moshi town onthe southern slopes of Mount Kilimanjaro.

NAFASI YA KAZI-MWEKA

Bursar

The College of African Wildlife Management (MWEKA), founded in 1963 is a center of excellence in professional and technical wildlife and tourism management training in Africa. It is registered with the National Council of Technical Education (NACTE) in Tanzania and recognized by the East African Community (EAC) and the Southern African Development Community (SADC). It is situated 14 km from Moshi town on
the southern slopes of Mount Kilimanjaro.


BURSA

KWA WENYE NDOTO ZA KUFANYA KAZI SHIRIKA LA USAFIRISHAJI LA JIJINI DAR ES SALAAM-(UDA) NAFASI HIZI SABA ZINAWAHUSU

 
1. UDA Rapid Transit-Chief Operating Officer 
Recruitment of a COO
People & Change Tanzania17-Jul-15
2. UDA Rapid Transit-Customer Care Manager
Recruitment of a Customer Care Manager
People & Change Tanzania17-Jul-15
3. UDA Rapid Transit-Head of Finance 
Recruitment of a Head of Finance
People & Change Tanzania17-Jul-15
4. UDA Rapid Transit-Head of Human Resources & Administration 
Recruitment of a Head of Human Resources & Administration
People & Change Tanzania17-Jul-15
5. UDA Rapid Transit-Head of IT 
Recruitment of a Head of IT
People & Change Tanzania17-Jul-15
6. UDA Rapid Transit-Operations Manager 
Recruitment of an Operations Manager
People & Change Tanzania17-Jul-15
FOR APPLICATION CLICK HERE
Chalinze. Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva amesema hadi sasa wameshaandikisha wapigakura zaidi ya milioni kumi na moja kati ya milioni 24 wanaotarajiwa kuandikishwa nchini kote.
Kutokana na idadi hiyo, Jaji Lubuva amesema NEC ina uhakika wa

KIBONZO


"MGOMBEA WAKO YUKO WAPI"

SHAMBULIO LA AL-SHABAAB LATIBUKA

Kenya: Shambulio hilo limefanyika karibu na Mpeketoni, ambapo wanamgambo wa Al Shabaab waliwauwa watu wapatao sitini na nane mwaka jana.
Taarifa zinasema, wasafiri katika walisikia mlipuko mkubwa uliofuatiwa na milio ya risasi.

MWANAUME MZEE ZAIDI DUNIANI AAGA DUNIA



Mwanamme mzee zaidi duniani raia wa Japan Sakari Momoi ameaga dunia mjini Tokyo akiwa na umri wa miaka 112.
Mwalimu huyo mkuu wa zamani wa shule ya upili na baba wa watoto watano, aliaga dunia kutoka na ugonjwa wa figo katika kituo kimoja cha kuwahudumia watu wazee siku ya Jumapili.

Kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Kuwazuia Wananchi Kwenda Dodoma Hadi Mkutano wa CCM Uishe YAPINGWA

Kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo kuwazuia wananchi kusafiri kwenda Dodoma hadi Mkutano Mkuu wa CCM utakapomalizika, imepingwa na Mjumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa vijana wa chama hicho, Mtemi Yareld. 
 
Juzi, Mulongo alinukuliwa na vyombo vya habari akiwaagiza polisi kuwazuia watu wanaotaka kusafiri kwenda Dodoma.

Mchungaji Mtikila Atangaza Kuwafikisha Mahakamani Wasaka Urais 6 wa CCM. .Yumo Lowassa, Sumaye,Membe,January Wassira na Ngeleja

CHAMA cha Democratic Party (DP) kimetangaza kwenda mahakamani kukishtaki Chama Cha Mapinduzi (CCM) pamoja na makada wake sita kutokana na kukiuka sheria ya nchi, taratibu pamoja na kanuni za uchaguzi.

Hayo yalisemwa jana jijini Dar es Salaam na Mwenyekiti wa chama hicho Mchungaji Christopher Mtikila, wakati

JOTO LA UTEUZI: Pius Msekwa Asema Atakayekatwa Jina na Akaona Ameonewa Anaruhusiwa Kuhama Chama.

Makamu mwenyekiti mstaafu wa CCM, Pius Msekwa amesema kashfa ya uchotwaji fedha kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow imekijengea chama hicho chuki kwa wananchi na hivyo kinahitaji mgombea anayekubalika ili kishinde kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba.

 Msekwa, ambaye ni mmoja wa viongozi wa zamani wanaotarajiwa kutoa

CCM kumtangaza Mgombea wake wa URAIS Jumamosi ya Tarehe 11. Tukio Hilo Litarushwa Na Vituo Mbalimbali ya TV Live kwa masaa Sita



Jana  tarehe 7 mwezi wa saba tumeanza vikao vya mchakato wa mkutano mkuu wa taifa wa CCM ambao unnategemewa pamoja na mambo mengine utapitisha ilani ya uchaguzi ya mwaka 2015-20 20. 

 
Pia utateua mgombea wa urais wa jamhuri ya muungano wa tanzania kupitia CCM, na pia
 
 

LAPTOP YA BVR YAIBWA

Picha kutoka maktaba
Kompyuta mpakato (laptop) inayotumika kwenye mashine ya ‘Biometric Voter Registration’ (BVR) imeibiwa na watu wasiojulikana katika Kata ya Nyugwa wilaya ya Nyang’hwale Mkoani Geita.

Akisimulia tukio zima lilivyokuwa, Afisa mwandikishaji msaidizi wa uchaguzi wa halmashauri ya
 

Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki (CHADEMA), Joshua Nassari apata ajali


Arumeru: Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki (CHADEMA), Joshua Nassari amepata ajali ya helikopta aliyokuwa akiitumia kufanya ziara jimboni kwake hii leo.

Habari kutoka Arumeru zinasema kuwa helikopta hiyo ilipoteza mwelekeo na kwenda kugonga mti na kunasa juu ya mti huo.

Aidha taarifa hizo zinaeleza kuwa Mbunge huyo na rubani wake