Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Bara, John Mnyika (wa kwanza kushoto) akiwa na viongozi wenzake katika kikao cha Kamati Kuu ya Chadema kilichofanyika leo jijini Dar es Salaam
MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika, ameibuka jijini Dar es Salaam na kuhudhuria kikao
cha Kamati Kuu (CC) ya chama chake. Taarifa kutoka ndani ya kikao cha CC kinachofanyika