Saturday, July 25, 2015

NEW JOBS

 Ministry of Health and Social Welfare - July 2015

From Mwananchi, 24th July 2015

The Ministry of Health and Social Welfare (MOHSW) through the National AIDS Control Programme with support from the Centres for Disease Control and Prevention (CDC) "is looking to recruit 3 suitable candidates to fill in the following vacant posts. The successful candidates will work under contractual agreement for a period of one year with a possibility of renewal.

Position Title : Program Officer - Pharmaceutical
Reporting to : Head of Unit - Care and Treatment, NACP

NEW JOBS

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
MINISTRY OF WORK
TAN ROADS REGIONAL MANAGER'S OFFICE - TANGA

CAREER OPPORTUNITIES
TANZANIA NATIONAL ROADS AGENCY (TANROADS) is a Semi-Autonomous Agency under the Ministry of Works established on July 1, 2000 and is responsible for the day-to-day management of the Tanzania Mainland's trunk and regional roads network. Its primary functions include the management of maintenance and development works, operations of the network and axle load control, the implementation of road safety and environmental measures, provision of advice on the strategic framework, policies and plans for the road sector.

Regional Manager, TAN ROADS - TANGA is looking for suitable qualified Tanzanian candidates for 24 posts available at Kwachaga, Misima and Horohoro Weigh Bridge stations. Regional Manager TAN ROADS - Tanga invites interested candidates to apply for the Shift Incharge, Weighbridge Operator, Office Assistant and Weigh bridge Collector positions:


POSITION TITLE: WEIGHBRIDGE COLLECTOR (4 POSTS)


BVR: WAJAWAZITO FEKI WASHITUKIWA

Mkazi wa Mtoni Mtongani jjijini Dar es Salaam,
Dar es Salaam. Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapigakura kwa Mkoa wa Dar es Salaam, unaendelea pamoja na kujitokeza kasoro kadhaa, ikiwa na pamoja na baadhi ya watu kutumia mbinu mbalimbali ili kukwepa foleni.
Katika Kituo cha Bwawani Shule, Mtoni Kijichi, wanawake wawili waliojifanya wajawazito, walibainika kufanya udanganyifu huo huku mmoja akiwa tayari amejiandikisha.

MWANADADA AWAACHA WAKENYA MIDOMO WAZI

Picha zilizosambaa kote duniani zilikuwa za rais Obama akimkumbatia mwanamke aliyekuwa mwisho kabisa katika foleni ya wale waliomkaribisha nchini wakiongozwa na mwenyeji wake rais Uhuru Kenyatta. 

OBAMA AFANYA SUPRISE KWA KUKUTANA NA RUTO

                                   
Nairobi: Wakati Wadadisi wa maswala ya kidiplomasia walikuwa wamebashiri kuwa rais Obama asingelikutana naye na ima atafanya hivyo itakuwa mkutano wa kisiri wala hakutakuwa picha yoyote kwani Ruto angali anatazamwa kama mshukiwa wa makosa jinai.

WEMA SEPETU AONJA JOTO YA JIWEA KURA YA MAONI


  
Msanii wa  Filamu  za  kibongo  anayeongoza  kwa  urembo  ndani  ya  tasnia hiyo, Wema Abraham Sepetu, aliyekuwa anagombea Ubunge wa Viti Maalum jimbo la Singida amebwagwa chini baada ya kupata kura 90 tu