Mara nyingi watu huwa wanajipenda, na wakati mwingine hufikia ata hatua ya kuandika status kwenye mitandao ya kijamii kwmba wanajipenda, au kwa kizungu "They love themselves".
Sunday, July 19, 2015
MAZUNGUMZO YA KULETA AMANI BURUNDI YAKWAMA
Mazungumzo ya mwisho ya kuzima msukosuko wa kisiasa wa Burundi, yamesimamishwa, siku mbili kabla ya uchaguzi wa raisi.
Waziri wa mambo ya ndani wa Burundi, ameripotiwa akisema,
NIGERIA YAFUNIKA TUZO ZA MTV
MBUNGE WA KAHAMA AJIWEKA KANDO CCM
Mbunge wa Kahama, James Lembeli ameiweka njiapanda CCM baada ya kutangaza kutogombea ubunge kwa tiketi ya chama hicho.
Uamuzi wa Lembeli umekuja wakati wanachama kutoka sehemu mbalimbali wakitangaza uamuzi wao wa kujiengua CCM na kujiunga na vyama vya upinzani, hasa Chadema ambayo
TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI (NEC) YAIKINGIA KIFUA CCM
Mstaafu Jaji Damian Lubuva (Picha kutoka Maktaba) |
Kauli ya Lubuva imekuja ikiwa ni siku chache baada ya Chama
NEW JOBS: BENKI YA MAENDELEO YA KILIMO
Background of TADB
The Government of Tanzania has decided to establish the Development Bank Limited (TAD B) under the provisions of the all Financial Institutions Act No 5 of2006 and the Banking and Financial Institutions (Development Finance) Regulations, 2011. The bank shall have the following key objectives:
i. To catalyze credit delivery to the agricultural sector and thereby accelerate agricultural growth;
ii. To lead, as an apex agricultural financing bank, in capacity building strategies and programmes to strengthen the agriculture financial value chain;
iii. To be an important initiative in the implementation of the Government's Second. generation financial sector reforms as well-as in the furtherance of the National
Strategy for Growth and Reduction of Poverty for Mainland Tanzania (MKUKUTA), and Zanzibar Strategy for Growth and Reduction of Poverty (MKUZA);
iv. To catalyze existing agro-financing activities through provision of short, medium and long-term facilities to the following institutions: commercial banks, community banks, savings and credit cooperative societies (SACCOS) and microfinance institutions (MFls) that are active in lending to the agricultural sector;
v. To coordinate and monitor agriculture and rural lending activities with a view to maximizing the impact of agricultural growth by working closely with the
Ministries and institutions responsible for Agriculture, Regional Administration as well as the numerous players active in this sector;
vi. To assist the Government in implementing its policies on enhancing the financial sector's inclusion in the rural areas.
TADB is hereby inviting applications from suitably qualified candidates to fill the'
following vacancy:
1. CREDIT ADMINISTRATION MANAGER - 1 POSITION
NEW JOBS LAPF
INTRODUCTION
The LAPF pension Fund is a social institution affiliated to the prime Minister’s Office, Regional Administration and Local Government (PMORALG). Its head office is located at Mtendeni Street in Dodoma, with zones and liaison offices in Dar es salaam, Arusha, Morogoro, Mwanza, Mtwara, Rukwa and Kigoma regions. The fund has plans to open more offices in other regions in future
LAPF activities has been steadily increasing in the recent past. In response to this development and the quest for even further development, the fund now seeks to recruit professionals with proven good track record to fill the following vacancies
1.0 SENIOR ESTATE OFFICER (1 POST)
VIDEO: JINSI YA KUKAA HEWANI
Zipo fursa nyingi sana ambazo mtu ukizitumia unaweza ukajivunia mipunga ya maana.
Utaalamu wa kukaa hewani ni kati ya vitu ambavyo vilikua vinafanyika tangu enzi na enzi na hadi hii leo utaalamu huu bado unafanyika hata kwenye nchi zilizoendelea.
Kutokana na watu kutokujua wengi walikua wakizani kwamba
Kutokana na watu kutokujua wengi walikua wakizani kwamba
MGOMO WA MABASI WANUKIA
CHAMA cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (TABOA), kimesema kitaitisha mgomo nchi nzima kama Serikali haitashusha gharama
za ushuru zilizopandishwa ghafla.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Katibu Mkuu wa TABOA,
DUKA LA WESTGATE LAFUNGULIWA
Nairobi: Duka la Westagate lililo mji mkuu wa Kenya Nairobi hatimaye limefunguliwa miaka miwili tangu lishambuliwe na wanamgambo wa Al shabaab.
Wazee wa kimila sasa wamwangukia Lowassa
Wazee wa kimila wakiwa kwenye picha ya pamoja na Lowasa (Picha kutoka maktaba) |
Arusha. Wazee wa kimila wa jamii ya wafugaji wa Kimaasai (Malaigwanan) kutoka Wilaya ya Monduli wamemuomba waziri mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa kubaki na kuendelea kuwa kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa sababu ndicho kilichomlea na anakijua.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini Monduli kwa niaba ya Malaigwanan, Mzee Joseph Mesopiro kutoka Kata ya Sepeko wilayani humo alisema viongozi wa mila
JANUARI MAKAMBA AMTUNISHIA MISULI KINGUNGE
Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba amemtolea uvivu mshauri wa zamani wa Siasa wa Rais Jakaya Kikwete, Kingunge Ngombale-Mwiru kwa kuupinga mchakato wa uteuzi wa mgombea wa urais kwa tiketi ya CCM na kusema anakivuruga chama.
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)