Zipo fursa nyingi sana ambazo mtu ukizitumia unaweza ukajivunia mipunga ya maana.
Utaalamu wa kukaa hewani ni kati ya vitu ambavyo vilikua vinafanyika tangu enzi na enzi na hadi hii leo utaalamu huu bado unafanyika hata kwenye nchi zilizoendelea.
Kutokana na watu kutokujua wengi walikua wakizani kwamba
hizo ni nguvu za kichawi, kishetani au ata nguvu za miujiza.
Kutokana na watu kutokujua wengi walikua wakizani kwamba
hizo ni nguvu za kichawi, kishetani au ata nguvu za miujiza.
Kwa kufanya trick hii watu wengi walijizolea umaarufu na pengine hata kuabudiwa.
Video ifuatayo inakupa mwanga ni jinsi gani watu waliweza kuwazoa watu kiakili na siyo siri badala ya kukaa na kulalamika kwamba hakuna ajira ata wewe unaweza ukafanya ujanja huu na kuweza kujizolea umaarufu na hata kipato hasa hasa kwenye maeneo yenye mikusanyiko ya watu wengi.
No comments :
Post a Comment