Saturday, August 8, 2015

TETESI ZA DR. SLAA KURUDI OFISINI ZAWAFANYA MAMIA KUKUSANYIKA

Mamia ya wanachama na mashabiki wa Chadema jana walifika katika ofisi za Makao Makuu ya chama hicho, Kinondoni Dar es Salaam kumsubiri Katibu Mkuu, Dk Willbrod Slaa baada

JOB: ICS ASSISTANT PROGRAMME COORDINATOR

Closing date: 5pm (EAT) on 16th August.
Length of Contract & Conditions: 1 year time specified contract (possibility of extension reference to performance)
Salary: Gross 17,067,233 Tsh (Dar) or 15,048,529 Tsh (Iringa) per annum

NEW JOB: RESTLESS DEVELOPMENT TANZANIA

Closing date: 5pm (EAT) on 19th August.
Length of Contract & Conditions: 1 year with the possibility of an extension
Salary: TZS 22,718,717 per annum (gross)

CHENGE AWA MWIBA KWA SEKRETARIETI YA MAADILI

Mbunge wa Baruadi Mgharibi, Andrew Chenge (kushoto) akipangua hoja za mwanasheria wa serikali aliyembele ya mwenyekiti wa Tume ya Maadili.
BARAZA la Sekretariati ya Maadili Tanzania imetoa siku tatu kuwasilisha faili la madai kwa aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali Andrew Chenge anaeshutumiwa kupokea sh1.6

ZITTO: "WASALITI WA UPINZANI SIYO ACT-MAENDELEO"

KIONGOZI Mkuu wa ACT Wazalendo, Kabwe Zitto amewataka Watanzania wasikubali kugeuzwageuzwa kama chapati na baadhi ya wanasiasa wasioitakia mema Tanzania.

HUJUMA KWA UKAWA

Matukio ya hivi karibuni ya kujiuzulu kwa viongozi wakuu wawili wa vyama vikuu vya upinzania nchini vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Dk. Wilbroad Slaa

SERIKALI: "ulevi na uzembe mambo yanayochangia matukio ya uporaji silaha na mauaji ya polisi"

Serikali imesema matukio ya uporaji wa silaha na matukio ya mauaji ya askari wa Jeshi la Polisi nchini ya hivi karibuni, yanachangiwa na ulevi, uzembe katika doria pamoja na

MAALIM SEIF: "wale waliojiunga CUF kwa sababu ya Profesa, ruksa kubaki au kutoka"


Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad amewataka wanachama waliokuwa wakimuunga mkono, kuamua moja, kubaki ndani ya chama hicho kama alivyoamua

VIONGOZI WA CUF ILEMELA WAHAMIA ACT