Sunday, July 19, 2015

VIDEO: UMESHAWAHI KUJICHUKIA? KUTANA NA MWANAUME ANAYEJICHUKIA HADI KUTAMANI KUFA


Tokeo la picha la Ricky Naputi.Mara nyingi watu huwa wanajipenda, na wakati mwingine hufikia ata hatua ya kuandika status kwenye mitandao ya kijamii kwmba wanajipenda, au kwa kizungu "They love themselves".
Hali imekua tofauti kwa Ricky Naputi, ambaye hali yake ya kuwa na uzito na unene kupita kiasi inayomfanya akose raha ya kuishi mpaka kukiri kwamba anajichukia mpaka hatamani kuendelea kuishi.

 Anauzito unaofikia  kilo 413. Anaishi visiwa vya Pacific na kwa sasa muda wake mwingi anautumia kitandani. Fuatilia documentary yake hapo chini.

No comments :

Post a Comment