Sheikh Mkuu wa Dar es Salaam ametangaza kuwa waislam wataendelea na funga zao za mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa kuwa mwezi haujaonekana kama ilivyotarajiwa.
Amesema kutokana na sababu hiyo, inatazamiwa kuwa sikukuu ya Eid El Fitr itafanyika tarehe 18 Julai 2015.
No comments :
Post a Comment