Sunday, July 12, 2015

MAGUFULI APATA USHINDI WA KISHINDO

Hatimaye Yale matokeo yaliyokuwa yanasubiriwa kwa hamu yametolewa live ambapo mgombea aliyekuwa ametabiriwa na wengi Dr. John Pombe Magufuli ametwaa ushindi Wa kishindobkwa kupata  87% ya kura zote.

Wagombea wengine wameachwa mbali kwa kupata jumla ya asilimia 13 zilizobaki ambapo Amina Ali amepata asilimia 10 na Dr. Asha Rose Migiro amepata asilimia 3.
HONGERA SANA DR. MAGUFULI

No comments :

Post a Comment