Waandamai wakichoma moto bendera ya China |
Maandamano yanaendelea nchini Turkey. Maandamano hayo yaliyoanza wiki iliyopita yanatokea wakati ambapo raisi wa Nchi hiyo anajiandaa na ziara ya kuzuru nchi ya China hivi karibuni.
Maandamano hayo yalianza rasmi mwanzoni kabisa mwa mwezi wa 7, ambapo mgahawa wa Kichina katika mji wa Instanbul ulipovamiwa na watu watano wenye fimbo na mawe" Hatutaki migahawa ya Wachina hapa, tokeni mjini kwetu" mwanaume mmoja allisikika akisema.
waandamanaji
No comments :
Post a Comment