Saturday, July 11, 2015

HABARI KATIKA PICHA: POLISI WAPAMBANA NA WAFUASI WA LOWASA

Wapambe wa Lowassa wakitambaa kupinga Edward Lowassa jinalake kukwatwa kamati kuu.
  
Gari linalotoa maji ya washawasha nje ya jengo la makao makuu CCM.
  
Polisi pamoja na mbwa wake wakilinda usalama nje ya jengo la Makao makuu CCM.
  
Baadhi ya waaandamaji wakipinga Edward Lowassa kukatwa.
Polisi watumia mbwa kuwafukuza waandamanaji nje ya majengo ya makao makuu CCM.

No comments :

Post a Comment