Wednesday, July 1, 2015

Treni imegongana na gari aina ya Costa iliyokuwa imezidisha abiria. Watu 4 wamefariki na 30 wamejeruhiwa

Kuna habari nimeipata hivi punde kwamba Watu wanne wamekufa na wengine 30 kujeruhiwa leo Kilosa baada ya basi dogo aina ya coaster kugonga  treni. Maiti na majeruhi wamepelekwa hospitali ya wilaya Kilosa.

Bado naendelea kuifuatilia kwa undani zaidi habari hii.

No comments :

Post a Comment