Kazi ya upigaji kura inaendelea hivi sasa katika mkutano wa Halmashauri Kuu (NEC), ambapo majina matatu yatapatikana na kupelekwa katika mkutano mkuu utakaoanza majira ya saa 3:00 usiku.
Aidha, mkutano huo umempitisha mh. Ali Mohamed Shein kuwa Mgombea wa Urais kwa upande wa Zanzibari.
Maandamano nje ya ukumbi yanaendelea kushinikiza jina la Lowassa Lirudishwe. Angalia Video
No comments :
Post a Comment