Sunday, July 5, 2015

Wanachama wawili CUF wapigwa risasi kwenye uandikishaji kwa BVR


 
 
Zanzibar: Kuna habari zinasema kwamba Wanachama wawili wa CUF  wamepigwa Risasi na watu wasiofahamika waliojifunika sura  zao  wakati wa kuandikisha wakupiga kura Makunduchi, Zanzibar.

Tukio hilo limetokea  jana    ambapo  majeruhi hao  wamelazwa katika Hospital ya  Hospitali ya Arahma
 
Bado ninaendelea kufuatilia undani wa tukio hili.
 

 

No comments :

Post a Comment