Tuesday, August 4, 2015

DAR HAKUPITIKI-MAELFU WAJITOKEZA KUMSINDIKIZA DR. MAGUFULI KUCHUKUA FOMU

MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dk. John Pombe
Magufuli leo amechukua fomu ya kuwania urais kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).

Maelfu ya wananchi wamejitokeza kumsindikiza kiongozi huyo aliyeanzia makao makuu madogo ya CCM Lumumba, Dar kuelekea ofisi za NEC.

No comments :

Post a Comment