Tuesday, August 4, 2015

LOWASA ATANGAZWA RASMI KUWA MGOMBEA WA URASI KUPITIA CHADEMA

Wanachama wa Chadema wakimshangilia Edward Lowassa
MKUTANO Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kwa pamoja
wamempitisha kwa kishindo Edward Lowassa Waziri Mkuu mstaafu kuwa mgombea urais kupitia Chadema na Umoja wa Katiba Ukawa. 

Mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Mlimani city Jijini Dar es Salaam leo umempitisha Mgombea mwenza Juma Duni Haji katika kura zilizopigwa kwa kanda kuulizwa na Mwenyekiti wa Taifa Chadema Freeman Mbowe.

No comments :

Post a Comment