Tuesday, August 4, 2015

VIGOGO WA CCM NDANI YA NYAVU ZA CHADEMA



Mwenyekiti wa Chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA), Mh.Freeman Mbowe(kushoto)
akimkabidhi kadi ya chama hicho Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida ambaye ni Mbunge wa zamani wa Iramba Mashariki Ndg.Mgana Msindai ambaye ametangaza kujiuzulu wadhifa wake, kujiondoa CCM na kujiunga na CHADEMA. 

Msindai ni miongoni mwa wafuasi "watiifu" wa Mhe.Edward Lowassa. Inadaiwa wapo wenyeviti 15 wa CCM mikoa mbalimbali watajiunga na CHADEMA, baada ya Msindai kufungua njia.


Mwenyekiti wa Chama cha demokrasia na maendeleo(CHADEMA), Mh.Freeman Mbowe(kushoto) akimkabidhi kadi ya chama hicho kwa Naibu Waziri wa Kazi Mh.Makongoro Mahanga.

Mbunge wa Arumeru Magharibi, Goodluck Olemedeye akikabidhiwa kadi ya chama cha Chadema na Mwenyekiti wa Chama cha demokrasia na  maendeleo(CHADEMA), Mh.Freeman Mbowe(kushoto) 
Mwenyekiti wa Chama cha demokrasia na maendeleo(CHADEMA), Mh.Freeman Mbowe(kulia) akimkabidhi kadi ya CHADEMA, Mh. Isaya Simon Bukakiye, (katibu wa Uchumi na Fedha Wilaya ya Kahama CCM

No comments :

Post a Comment