Naibu Waziri wa Kazi na Ajira na Mbunge wa Segerea anayemaliza muda wake, Mhe. Dkt. Makongoro Milton Mahanga akizungumza na waandishi wa habari leo nyumbani kwake Segerea Mwisho jijini Dar es Salaam, ametangaza kujiondoa uanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) tangu leo, Jumapili Agosti 2, 2015.
Makongoro Milton Mahanga |
No comments :
Post a Comment