Sunday, August 2, 2015

Wagombea Ubunge Tarime Wakamatwa Kwa Kutengeneza Kura FEKI

Gaudencia Kabaka
Uchaguzi wa kura za maoni kupitia CCM katika jimbo la Tarime Mjini na Vijijini
umeahirishwa hadi kesho baada ya kukamatwa makaratasi maalum ya kupigia kura (kura feki ) zaidi ya elfu 20 zikiwa na majina ya wagombea, Nyambare Nyangwine na Gaudencia Kabaka yakiwa tayari yameshawekewa alama ya NDIO kuonesha kura wamekubalika.
Nyambari Nyangwine
                                            

                           
         

No comments :

Post a Comment